N nkyagila Member Joined Sep 4, 2013 Posts 36 Reaction score 3 Apr 22, 2014 #1 Naomba kujua kujua kodi ya kuleta gari aina ya suzuki escudo ya 2006 bei yake ni usd 8300 mpaka mombasa. Matumizi yake ya mafuta, uimara wake pamoja na spare. Ila siyo ya biashara.
Naomba kujua kujua kodi ya kuleta gari aina ya suzuki escudo ya 2006 bei yake ni usd 8300 mpaka mombasa. Matumizi yake ya mafuta, uimara wake pamoja na spare. Ila siyo ya biashara.