Habari ndungu zangu,,, Nahitaji mahali ambapo
nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku haswa haswa hawa wa kisasa... Nimefuatilia sana kuhusu ufugaji. na nimepata mwanga kidogo lakini bado haitoshi
nataka kujua zaidi kuna vitu vingi sana kwenye
ufugaji..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.