Dodo18 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 315 Reaction score 93 Apr 28, 2014 #1 Habari ndungu zangu,,, Nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku haswa haswa hawa wa kisasa... Nimefuatilia sana kuhusu ufugaji. na nimepata mwanga kidogo lakini bado haitoshi nataka kujua zaidi kuna vitu vingi sana kwenye ufugaji..
Habari ndungu zangu,,, Nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku haswa haswa hawa wa kisasa... Nimefuatilia sana kuhusu ufugaji. na nimepata mwanga kidogo lakini bado haitoshi nataka kujua zaidi kuna vitu vingi sana kwenye ufugaji..