wakubwa naomba kuuliza nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata div 3 ya 30 naweza kupangiwa shule form 5
english B
kiswahili C
history D
physics D
chemistry D
biology C
mathematics E
geography D
civics C
na piah kama nikikosa nafasi advance naweza kusomea clinical officer