Uncle, kuna uwezekano mkubwa ukawa na ishu ya kisaikolijia, lakini kirijali wewe ni mzima. Kuhusu muda gani mtu anachukua kati ya round, hilo linategemeana na mambo mengi pamoja na msisimko ulionao siku hiyo, na mazingira pia.
Ila, nachotaka kukwambia ni kwamba, ukiwa katika yale mambo, ukiwa unawaza kuhusu ni saa ngapi mzee anaweza kuamka inaweza kukusababishia uwoga, ikasababisha mzee asiamke kabisa na kutamani uondoke. Hili ni tatizo linalowakuta watu wengi, hasa hasa unapokuwa mgeni kwenye yale mambo.
Unachoweza kufanya ni kujiamini na kujaribu kuwa pamoja na mpenzi wako (kihisia). Mimi pia lilishawahi nikuta nilipokua na shem wako wa kwanza, ila nilipata ushauri na likaondoka mara moja na baada ya hapo shem wako alikua akiomba maji.
Kutoka na wewe kusema mara ya kwanza ilichukua dk 12, inaoneka ulikua umeliweka sana hilo kichwani kiasi cha kuhesabu muda (sina uhakika kama ulikua na saa kama refa) na ndio maana linakusababishia matatizo. Wakati mwingine inaweza kuchukua hata saa nzima, na siku nyingine isilale kabisa, hivyo raundi moja na mbili zikaunganika bila mzee kulala, me yote haya huwa yanatokea, cha msingi ni kujiamini kuwa wewe ni rijali tu hata kama haitasimama tena siku hiyo.