Msaada.

Msaada.

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Jaman nan anajua bsc with educ in informatics anda mathematics,inahusika na nn hasa.
 
Jaman nan anajua bsc with educ in informatics anda mathematics,inahusika na nn hasa.

BSc.(Ed) malengo yake unaandaliwa kuja kua mwalimu ktk masomo mawili ya upili. Utasoma kozi nyingi ktk masomo hayo mawili uliyoyataja (Informatics na Mathematics) na utasoma pia kozi chache za ualimu.

Uliza kingine.
 
Back
Top Bottom