Msaada.

Msaada.

Daddo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,435
Reaction score
1,025
Samahanini wakuu naomba kufahamishwa muda wa kutuma maombi ya mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti daraja A unaisha lini? Na ni vitu gani mhusika anatakiwa kuambatanisha.
 
Back
Top Bottom