Daddo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 1,435 Reaction score 1,025 May 5, 2014 #1 Samahanini wakuu naomba kufahamishwa muda wa kutuma maombi ya mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti daraja A unaisha lini? Na ni vitu gani mhusika anatakiwa kuambatanisha.
Samahanini wakuu naomba kufahamishwa muda wa kutuma maombi ya mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti daraja A unaisha lini? Na ni vitu gani mhusika anatakiwa kuambatanisha.