Msaada

Immano2

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
260
Reaction score
214
Naomba kufahamishwa dawa ya TAMBAZI inaitwaje
 
MziziMkavu, inabidi amfungie kamba? Nyuki wa bongo wajanja kama nzi, hawatulii
:smile-big::smile-big::smile-big:


Dawa ya ukimwi pia ni nyuki kukuuma mwilini mwako Dawa ya Maradhi ya Wendawazimu pia nyuki kukuuma mwilini mwako.

nyuki ana faida nyingi sana ila watu hamuelewi kabisa.
Sumu ya nyuki inavyoangamiza VVU. chanzo. Sumu ya nyuki inavyoangamiza VVU - mwanzo - mwananchi.co.tz

Nyuki: Mdudu mkali mwenye sumu, aliyegeuka tiba duniani. chanzo. Nyuki: Mdudu mkali mwenye sumu, aliyegeuka tiba duniani - mwanzo - mwananchi.co.tz

bibie.@
King'asti mimi ni Mzizimkavu Hauchimbwi Dawa huwa sipendi kusema kitu pasipo na kuwa na

ushahidi wowote ule kazi kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…