Msaada

Mjela

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
88
Reaction score
18
Jamani msaada mwanangu anaumwa mafua hata week mbili hajafikisha,wataalamu mnanishauri nini?
 
madaktari hawashauri mtoto mchanga kupewa dawa ya mafua, ila kama pua zinaziba matone ya saline huzibua pua. pia mvalishe kofia na soksi
 
Ahsante Queen kwa ushauri wako hayo matone ya saline ni dawa?inapatikana pharmacy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…