msaada

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
inachukua muda gani ambapo ni mapema sana kwa mtu kubeba mimba baada ya kujifungua kwa opparation, nimebeba mimba baada ya ya miezi 4 kuna tatizo hapo.
 
loh pole sana angalau miaka kuanzia 2 ila inashauriwa kuwa 3 ukiwa umezaa kwa operation, kuupa mwili muda wa kupona na kurudi hali ya kawaida.miezi 4 uliyosema ni mapema mno,jitahidi kuhudhuria kliniki.na ikifika wakati wa kuzaa heri ukaenda hosp.zinazoweza kufanya op.maana kunauwezekano wa kufanyiwa op.nyingine wakati wa kujifungua.
 
Dah! If ungekua mke wangu ningekushauri uitoe hiyo mimba! Pole sana!
 
inachukua muda gani ambapo ni mapema sana kwa mtu kubeba mimba baada ya kujifungua kwa opparation, nimebeba mimba baada ya ya miezi 4 kuna tatizo hapo.

Yaani unaomba ushauri wakati jamaa keshakubebesha? Unataka tukuambie nini tena?Mbona unashangaza ndugu!..Wabongo bwana kila kitu tunachelewa!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…