Msaada

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
319
poleni na majukum wapendwa.

Nahitaji Dr Bingwa wa magonjwa ya wanawake plz kama anaweza anipe na no yake ili niweze kuongea nae kwa kirefu juu ya tatizo langu.
 
pole kwa chochote kinachokusumbua,usisahau na mamombi mpendwa wangu.
 
Pole sana mama nadhani ungeenda moja kwa moja hospitali badala ya hii online treatment!
 
Thx so much dear,si kama nahitaji online treatment but wat I need is huyo mtu ili nikaonane nae face to face,thx kwa ushauri wako dia.
Pole sana mama nadhani ungeenda moja kwa moja hospitali badala ya hii online treatment!
 
Pole sana mamaa, Mungu atajaalia neema. Umeshamuona Ndodi? mtaalamu wa tiba mbadala? Niliona siku moja kwenye tv watu walikuwa wanatoa ushuhuda kwamba walikuwa na matatizo ya muda mrefu lakini kwa sasa mambo yao sio mabaya, kama hayo yalifanyika bila kuingiza usanii basi anaweza kuwa mtaalamu anayeweza kukusaidia.
 
Pole binamu! Nenda zahanati moja iko Gongo la Mboto unashukia kituo cha Banana kama unaenda Kitunda shukia Bonanza!
 
Pole binamu! Nenda zahanati moja iko Gongo la Mboto unashukia kituo cha Banana kama unaenda Kitunda shukia Bonanza!

kabisa naunga mkono hoja pale utapata tiba za asili na madr wapo pale nimewasikia kupitia wapo radio
 
poleni na majukum wapendwa,nahitaji Dr Bingwa wa magonjwa ya wanawake plz kama anaweza anipe na no yake ili niweze kuongea nae kwa kirefu juu ya tatizo langu.
ni PM tuanze tiba
 
Pole mumy. Hapo Aga Khani kuna Dr Shafiq ni mzuri tu.Unafanya appointment mapokezi unampata namba yake atakupa uteja ukikolea.Kuna Dr Kapone nae nimesikia wa tumaini hospital au Prof Mgaya (anapatikana muhimbili au clinic yake hapo mbuyuni-namanga); hizi ni kama upo Dar. All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…