msaada

Kwa mwenye link ya majina ya waliopata vyuo naomba anisaidie tafadhari

ndugu yangu link imefungwa jana saa5 usiku tusubiri matokeo official tu maana hata hayo yanaweza yakabadilishwa coz vyuo vikuu bado hawajayapitisha! Watayapitisha baada ya kikao chao na bodi.
 
ndugu yangu link imefungwa jana saa5 usiku tusubiri matokeo official tu maana hata hayo yanaweza yakabadilishwa coz vyuo vikuu bado hawajayapitisha! Watayapitisha baada ya kikao chao na bodi.

acha upotoshaji aliyepata ndio hichohicho inayo run selection sio mtu wala bodi bali ni electronic system kama mi muongo utaona kama kutakea mabadiriko yeyote
 
acha upotoshaji aliyepata ndio hichohicho inayo run selection sio mtu wala bodi bali ni electronic system kama mi muongo utaona kama kutakea mabadiriko yeyote

soma taarifa ya nacte vyuo vikuu wataaprove hizo selections kwenye kikao kitakachofanyika dsm kikishirikisha wajumbe kutoka vyuo vyote,,sasa nadhani unaelewa maana ya neno approve et! Ingekua ni final si wangeyaanika kwanini wayafiche wakati mda umeisha? Usidanganywe na system et nyuma ya izo system kuna watu
 
acha upotoshaji aliyepata ndio hichohicho inayo run selection sio mtu wala bodi bali ni electronic system kama mi muongo utaona kama kutakea mabadiriko yeyote

Kindly be informed that TCU and
NACTE will jointly release names
of applicants on 22nd
September 2014 after Joint
Admission Board meeting to be
held at Ubungo Plaza. The
meeting will be attended by all
Degree offering institutions. In
the meantime, our joint team
has compiled the first batch of
selected to be given to
institutions for approval. It is
important to note that the list
cannot be released to the public
before pre-approval by
universities internal organs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…