M Mr.Aki Member Joined Sep 20, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Oct 14, 2014 #1 Mwenye kujua,mzaz wangu anasumbuliwa na maumivu ya magoti,alienda hosptal akaambiwa fluid ya magotin imepungua akapewa dawa lakn bado,naomben ushauri
Mwenye kujua,mzaz wangu anasumbuliwa na maumivu ya magoti,alienda hosptal akaambiwa fluid ya magotin imepungua akapewa dawa lakn bado,naomben ushauri
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,400 Reaction score 14,339 Oct 14, 2014 #2 supu ya makongoro inahusika hapo
Chokochoko JF-Expert Member Joined Oct 15, 2011 Posts 438 Reaction score 184 Oct 15, 2014 #3 Mr.Aki said: Mwenye kujua,mzaz wangu anasumbuliwa na maumivu ya magoti,alienda hosptal akaambiwa fluid ya magotin imepungua akapewa dawa lakn bado,naomben ushauri Click to expand... hospital hakuna dawa ya hilo tatizo, ila kama uko dar nitafute
Mr.Aki said: Mwenye kujua,mzaz wangu anasumbuliwa na maumivu ya magoti,alienda hosptal akaambiwa fluid ya magotin imepungua akapewa dawa lakn bado,naomben ushauri Click to expand... hospital hakuna dawa ya hilo tatizo, ila kama uko dar nitafute
IlangiKwetu Member Joined Oct 9, 2014 Posts 85 Reaction score 33 Oct 15, 2014 #4 Atumie supu ya Kongolo pamoja na bamia kwa wingi
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,625 Oct 15, 2014 #5 Bamia,mlenda atumie