Msaada

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
2,751
Reaction score
200
Hivi wanalugha kuna kitu kinanikanganya, ni neno gani la kiswahili linatumika badala ya neno la kiingereza 'respectively'?
 
respectively, KATIKA HALI YA KUFUATANA
 
Hivi wanalugha kuna kitu kinanikanganya, ni neno gani la kiswahili linatumika badala ya neno la kiingereza 'respectively'?
m fululizo, Mtawalia, mtiririko!
 
Juma john na bakari wana miaka 23, 34 na 42 kwa mlololongo huo huo.

lol kazi kweli kweli . sijui nani yuko sahihi.

Mzee Shaban Gonga na khamis khakida wako wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…