Msaada naomba kujuzwa! Chango ni nn, inasababishwa na nn na utajuaje kama una chango nini madhara yake na pia tiba yake. Nasubiri majibu yenu kwa wenye kujua hili tafadhali.
Mimi Sio Mtaalamu wa vidonge vya kizungu mimi huwa ninaviita vidonge vya kizungu neno hili (Sumu) nitaweza kukusaidia kidogo kuhusu hiyo dawa ya duphaston.Sijui kama ninalo ila huwa nasikia watu wanalisemea. Je kuna kipimo ambacho kinapima ugonjwa kuweza kujua kama mtu anao!!!! Anyway mm niko kusaka mtoto bwana. Je vipi kuhusu duphaston una idea yoyote kuhusiana na matumizi yake. Nijuze mkuu. Asante kwa ushirikiano