Habari! Naombeni Msaada kama kuna Mwenye format ya somo la History na Civics ya namna ilivyo takiwa kujibu maswali ya NECTA mwaka 2014,anisaidie ile format inayoonesha percentage ya topic Fulani kuweza kutoa maswali necta nayopia Mwenye nayo kwa masomo yeyote ya arts anisaidie.
Asanteni.