ngota wa nzambe
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 121
- 136
Wanajf..mimi nilinunua nyumba na kiwanja..na kabla ya kukinunua nilienda ofisi za ardhi kujiridhisha kuwa Hakikuwa na deni lolote toka taasisi ya fedha..sasa baada ya kununua imeibuka benki moja ikitaka kuiuza kwa madai kuwa mmiliki wake hakumaliza deni lao..je sheria inaniruhusu kwenda kuweka zuio( caviet) ili isiuzwe wakati nashughulika na huyo jamaa aloniuzia?