Msaada_wanawake wa kibena-iringa.

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
1,889
Reaction score
1,127
Habar ya lyamba.
ndgu zangu naombeni kpata details za hawa wanawake pia mnijuze mila zao zkoje ktk suala nzima la kuoa.
 
hapa umeongea!
Ni wema, wachapakazi, humble!!

Poa warembo na wavumilivu sana!

Chukua weka chombo ndani!
 
wanawake wa kuona nina kuhakikishia ni watu sahihi wa kuoa, wakarimu sana (sio kwenye kugawa utunda kama kabila flan kanda ya ziwa) , wana upendo , na wanajali sana wanaume zao
 
wametulia oa mi nimeoa mbena hawana makuu
 
Mbena wa sehemu gani nikupe ditail ya mila zao mkuu!
 
Habar ya lyamba.
ndgu zangu naombeni kpata details za hawa wanawake pia mnijuze mila zao zkoje ktk suala nzima la kuoa.

Oa tu mkuu hawa wanawake ni waadilifu sana pia wana nidhamu ya hali ya juu mi pia nimeoa mbena wa njombe kwa kweli wako poa sana nafurahia maisha ya ndoa kaka
 
Wanawake wa ringa, mbeya, ruvuma, Lindi, wavumilivu wanaheshma, wanathamini ndoa na mwanamme.
Ila wapo mapepe pia, waliopotea njia wanaitwa. kuwa makini
 
walau wabena wamepita kwenye tundu la sindano maana kila kabila likiletwa hapa linachafuka ile mbaya hata kwa mabaya ya kuzusha.
 
Kimaumbile kama wana ulimi fupi sijui......ile mambo ya kisses hutaenjoy.
Sijui wangu tu ndo alikuwa hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…