Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Nov 19, 2013 #1 Wana jamvi naomba msaada ni jinsi gani ya kuweka picha ktk habari, mfano matukio ya ajali, mikutano, au picha ya mtu.elimu haina mwisho, natumia simu (application)
Wana jamvi naomba msaada ni jinsi gani ya kuweka picha ktk habari, mfano matukio ya ajali, mikutano, au picha ya mtu.elimu haina mwisho, natumia simu (application)