Msaani Ali Kiba anatumbuiza leo usiku katika sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA)

Msaani Ali Kiba anatumbuiza leo usiku katika sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA)

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
EXCLUSIVE: Msaani Ali Kiba anatumbuiza leo usiku katika sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) kwa ajili ya kuwashukuru wapiga kura wao.

Habari hii imethibitishwa na meneja wake Seven Mosha kwa njia ya simu. "Ali yupo kweli Kenya na alialikwa kupitia Ali Hassan Joho - Gavana wa Mombasa ambaye ni rafiki yake wa karibu".

Ali Kiba ambaye ndani ya wiki mbili amevunja rekodi na wimbo wake wa "Seduce Me" ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaoongoza Afrika Mashariki kwa umaarufu.
21271159_1410902422333216_2852773442401024043_n.jpg
 
Akili za watanzania kiba, Diamond na kubeti Khaaa Mtoa thread I am just jocking eee
 
Muache afanye kazi,mana asipofanya kazi hela ya kulea watoto wote wale ataitoa wapi
 
uhusiano wa Kiba na Joho upoje mpaka kufika stage ya kupeana magari uko Mombasa

G.O.M.D
 
Back
Top Bottom