Acha wivu wa kike.
Na wewe nenda mombasauhusiano wa Kiba na Joho upoje mpaka kufika stage ya kupeana magari uko Mombasa
G.O.M.D
Hahahahaha! Kweli team mond na boss wenu munamchukia sana huyu jamaa.hakukosea kusema kuwa ana majina mapya.
Hatariiiiii.hahahahahaAcha wivu wa kike.
Hahahahaha! Amekuwa mvaa wigi siku hizi