Msaani Banky Wellington afunga ndoa ya kimila

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Huku akiendelea kujitibu ugonjwa wa Kansa msanii @bankywellington afunga ndoa ya kimila na mpenzi wake @adesuaetomi

 
Msanii wa muziki kutoka Nigeria na CEO wa EME, Banky W ameamua kuachana na maisha ya ubachela, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake Adesua Etomi wikiendi hii.



Banky W ambaye aliripotiwa kuwa anapambana na ugonjwa wa kansa ya ngozi wiki chache zilizopita ameamua kufunga ndoa ya kimila iliyofanyika katika mji wa Lagos Nigeria. Sherehe hiyo ilipambwa kwa mavazi ya kimila.

Wiki chache zilizopita Banky W alifanyiwa upasuaji wa tatu katika maisha yake kwa ajili ya kutibu kansa ya ngozi ila kwa sasa anaendelea vizuri na mwenye afya njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…