Ipeleke jukwaa la Sheria mkuu, huko utakutana na weledi wa fani husika.
Ila nijuavyo pindi umuwekeapo mtu dhamana maana yake, wewe ndio unabeba jukumu la kuhakiki masharti yote ya dhamana juu ya mshtakiwa.
Kama ikitokea mtu huyo akatoweka basi wewe mdhamini au mali ya udhamini itashikiliwa hadi pale mstakiwa atapopatikana