K, fine sasa mrahaba kwenye madini unapimwaje. neno hili linatumika sana kwenye madini, mara tutalipwa mrahaba , mrahaba wetu haujalipwa etckiwango/kiasi cha kitu kinachopimika kiumbo,kwa mtindo wa uzito,urefu,upana au kimo.
SWALI LAKO MBN NIMEKUJIBU?O
K, fine sasa mrahaba kwenye madini unapimwaje. neno hili linatumika sana kwenye madini, mara tutalipwa mrahaba , mrahaba wetu haujalipwa etc
Ok, asante sana. Nimesoma sana kujiongeza let me turn to english version maana kiswahili kimeishia hapo!SWALI LAKO MBN NIMEKUJIBU?
PALIPOBAKIA SASA NA WEWE UTUMIE AKILI YAKO,KIKUBWA UMEUJUA MSINGI WA SWALI LAKO,BUT HATA HIVYO SIO RAHISI SANA KUJUA UNACHOTAKA KUJUA,HUWA KUNA USIRI MKUBWA NA UBATILI WA TAARIFA KWA WANANCHI JUU YA UKWELI WOTE WA AMBACHO HUWA KINAFANYIKA HUKO..