Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Ni line ya halotel. Ilikua inawaka kama kawaida ukiwash data.. Lakini ghafla imetoweka kabisa
Nimewasha na kuzima data mara nyingi hiwaki.. Ila mb zipo
Nikiingi kwenye mtumizi ya inta eti mfano Jf inagoma kufunguka inaonesha hakuna muunganiko wa intaneti
Hili tatizo lipo kwangu tu?
Linaondokaje?
Nimehamia tigo intanet 4g inawaka vizuri. Tatizo ni hiyo line ya pili.
Mtandao umeshika, inapiga,inatuma msg za kawaida.. Ila intneti sasa kile kialama cha H+ hakitokei
Sent using Jamii Forums mobile app