Msada:Alama ya intaneti imetoweka kabisa

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Ni line ya halotel. Ilikua inawaka kama kawaida ukiwash data.. Lakini ghafla imetoweka kabisa
Nimewasha na kuzima data mara nyingi hiwaki.. Ila mb zipo
Nikiingi kwenye mtumizi ya inta eti mfano Jf inagoma kufunguka inaonesha hakuna muunganiko wa intaneti
Hili tatizo lipo kwangu tu?
Linaondokaje?
Nimehamia tigo intanet 4g inawaka vizuri. Tatizo ni hiyo line ya pili.
Mtandao umeshika, inapiga,inatuma msg za kawaida.. Ila intneti sasa kile kialama cha H+ hakitokei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi imenitokea. Zima simu, subiri sekunde 20 then washa. Usirestart, zima Kama kuzima then washa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamerudi tayari mama ilikuwa hivyo hata kwangu, network network tu

Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
 
Restore default mkuu hata mi imetokea ...nikarestore fresh now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya
Halotel yangu pia imeleta shida hiyo, nimezima na kuwasha Simu mpk imekubali
Battwry haitoki.. Ntazima tu labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halotel wana matatizo ya fuatayo

1. Network kusoma lakini internet haipo
2. Network kuwa slow
3. Kusema umepewa mb kiasi flani pale unapo jiunga na vifurushi vyao alafu ndani ya dakika 10 mb zimekwisha(wizi wa mb)
4. Kukata network time to time


So wavumilie ndivyo walivyo skuiz, huduma ovyo ovyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda setting -mobile network-access point-add apn

utaandika neno b-internet kwenye apn na kwenye name baada ya hapo una save then una activate...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…