Msada:Alama ya intaneti imetoweka kabisa

Usijal mkuu nenda kwenye setting ya simu yako select 'mobile network " itafunga then select 'access point name"
ikishafunguka kuna (3POINT) zipo kulia juu
Click itakuja neno RESET TO DEFAULT Hii click hyo neno zen uwanja utabaki plan sasa kuna neno itaandika ADD hi click
mfano hallotel
NAME. hallo
APN.internet
PROX.not set
PORT.9090
kisha save baada ya hapo weka flight mode au kindege dk1 au 2 zima washa dat a ikifeli nakurudishia mb Zako 100fil100 lazima ipig mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kaset Access point Mambo murua
 
Sawa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamezidiwa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa internet settings, hiyo ndio itakuwa imechizi, piga customer care wanakutumia unasave mambo bomba, kama ni mjanja unaweza kuelekezwa ukaweka settings.
 
Au upo karibu na Congo?πŸ˜›πŸ˜› (natania)
maana huko wamezima internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…