waheshimiwa natafuta field kwa mwakani mwez wa pili nachukuwa Civil engineering;;hivyo hata kama huna uzoefu wowote naomba unitajie kampuni yoyote inayohusika na maswala hayo utakuwa umenisaidia sana -nitapendelea zaidi ikiwa site field
MUNGU AWABARIKI