Msada msada tafadhari

Msada msada tafadhari

SANGA ONE

Senior Member
Joined
Jul 7, 2012
Posts
125
Reaction score
28
kuna ndugu yangu anaishi mkoa huko mbeya.ni tajili mfanya biashara.sasa huyu ndugu yangu sijui anabaraa gani? akisafili tu kwenda dar kununua bidhaa.atafunga mzigo anapakiabaada ya hapo akili inaluka anakuwa chizi hajielewi sim yake haipatikanicku10
 
Inaonekana anatumia mambo ya kishirikina ,akimrudia mungu atapona ....BIASHARA BILA MANYOKA INAWEZEKANA
 
Muombeeni katika jina lipitalo majina yote
Yesu Kristo.
 
Inaonekana anatumia mambo ya kishirikina ,akimrudia mungu atapona ....BIASHARA BILA MANYOKA INAWEZEKANA

Mbona baada ya kutokea haya ameokoka.na bado mambo niyalele.mbaya zaidi akienda na mkewe mambo safi.
 
Back
Top Bottom