SANGA ONE Senior Member Joined Jul 7, 2012 Posts 125 Reaction score 28 Oct 8, 2013 #1 kuna ndugu yangu anaishi mkoa huko mbeya.ni tajili mfanya biashara.sasa huyu ndugu yangu sijui anabaraa gani? akisafili tu kwenda dar kununua bidhaa.atafunga mzigo anapakiabaada ya hapo akili inaluka anakuwa chizi hajielewi sim yake haipatikanicku10
kuna ndugu yangu anaishi mkoa huko mbeya.ni tajili mfanya biashara.sasa huyu ndugu yangu sijui anabaraa gani? akisafili tu kwenda dar kununua bidhaa.atafunga mzigo anapakiabaada ya hapo akili inaluka anakuwa chizi hajielewi sim yake haipatikanicku10
M Mechanics JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 295 Reaction score 26 Oct 8, 2013 #2 Inaonekana anatumia mambo ya kishirikina ,akimrudia mungu atapona ....BIASHARA BILA MANYOKA INAWEZEKANA
Inaonekana anatumia mambo ya kishirikina ,akimrudia mungu atapona ....BIASHARA BILA MANYOKA INAWEZEKANA
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Oct 8, 2013 #3 Muombeeni katika jina lipitalo majina yote Yesu Kristo.
SANGA ONE Senior Member Joined Jul 7, 2012 Posts 125 Reaction score 28 Oct 8, 2013 Thread starter #4 Mechanics said: Inaonekana anatumia mambo ya kishirikina ,akimrudia mungu atapona ....BIASHARA BILA MANYOKA INAWEZEKANA Click to expand... Mbona baada ya kutokea haya ameokoka.na bado mambo niyalele.mbaya zaidi akienda na mkewe mambo safi.
Mechanics said: Inaonekana anatumia mambo ya kishirikina ,akimrudia mungu atapona ....BIASHARA BILA MANYOKA INAWEZEKANA Click to expand... Mbona baada ya kutokea haya ameokoka.na bado mambo niyalele.mbaya zaidi akienda na mkewe mambo safi.
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Oct 8, 2013 #5 SANGA ONE said: Mbona baada ya kutokea haya ameokoka.na bado mambo niyalele.mbaya zaidi akienda na mkewe mambo safi. Click to expand... Wakae chini wazungumze, hapa kuna jambo limejificha
SANGA ONE said: Mbona baada ya kutokea haya ameokoka.na bado mambo niyalele.mbaya zaidi akienda na mkewe mambo safi. Click to expand... Wakae chini wazungumze, hapa kuna jambo limejificha