KAKA TANZANIA
Member
- Sep 19, 2016
- 65
- 40
Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Naomba kufahamu dhana ya ndoa kwa sasa ni miaka mi mingapi au mda gani ambao mwanaume na mwanamke wakiishi pamoja watathibitishwa kuwa ni wanando, kulingana na sheria ya ndoa ya sasa.
Naomba kuwasilisha.
Cc: kwa wanasheria wote.
Naomba kuwasilisha.
Cc: kwa wanasheria wote.