MAKOLE
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 618
- 280
Kwa mwanamke ambaye alishapata mtoto ila kwa operation. Miaka sita sasa tangia afanikiwe kupata watoto mapacha hajapata tena mtoto mpaka leo pamoja na kukutana na mumewe mara kwa mara. Awali kabisa alipata mtoto ila alifariki wakati wakujifungua .Mara ya pili alipata watoto mapacha.Hatimaye mpaka leo hakupata tena, ushauri wa kitaala juu ya nini afanye ili afanikiwe unahitajika sana.