Msada: Tatizo la uzazi kwa mwanamke

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Kwa mwanamke ambaye alishapata mtoto ila kwa operation. Miaka sita sasa tangia afanikiwe kupata watoto mapacha hajapata tena mtoto mpaka leo pamoja na kukutana na mumewe mara kwa mara. Awali kabisa alipata mtoto ila alifariki wakati wakujifungua .Mara ya pili alipata watoto mapacha.Hatimaye mpaka leo hakupata tena, ushauri wa kitaala juu ya nini afanye ili afanikiwe unahitajika sana.
 


Mkuu Makole

Pole kwa tatizo la huyo mama. Naomba tuwasiliane kwa msaada.

Piga 0713 366 473 au 0767 277 223

KARIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…