Msada: Tumfanyaje Mke 'mcharuko?'

wengine huwa hawaonyeshwi hayo ni tabia ya mtu na ndugu yangu mmoja anafanana na huyo mke anayemuelezea acid hapo mumewe amekuwa kama amechanganyikiwa sasa amesema mpaka kwa ndugu lakini wapi mke ni kama anataka kumiliki dunia vile mpaka mke sasa anagawa huko nje apate pesa
 
hizi ndoa zina mambo kweli kweli.

kwanza huyo rafiki yako aache ukimya, amkalishe chini mke wake na kuliongelea hili, maisha ni mipango huyo mwanamke anatakiwa kusemwa haswa, anaonyesha umimi umemzidi.

Acid kama ni rafiki yako mimi naona hata kama hayakuambia labda anaona so kaa nae kwa ukaribu na uongeenae kishkaji mshauri kitu naamini hawezi kukataa ushauri wako
 
He might go nuts before breaking the silence!

He has to open otherwise he will go nuts, Oops!!! by the way i guess he has already this is not a small thing too many demands which cannot be fulfilled
 
The best Acid can do ni kumchomekea mshikaji wake kiaina, ili labda kama anaogopa kusema aweze kujiachia na kuongea...

kwannn aingilie mambo ya watu, asichomeke wala asichomoe, akae kimya mpaka ashirikishwe, anajuaje labda jamaa anampenda mke wake kiac kwamba lazima atimize matakwa yake?....ya ngoswe muachie ngoswe.
 
watu wanaojifunika shuka moja sio wa kuingiliwa kihivyo jamani, mke akimpa vizuri Acid ataonekana mchonganishi, mie sioni tabu kama mume anaridhika na kubadilisha vitu kila lisaa kwa ajili ya kumridhisha mke wake na bac aachwe amridhishe.
 
kwannn aingilie mambo ya watu, asichomeke wala asichomoe, akae kimya mpaka ashirikishwe, anajuaje labda jamaa anampenda mke wake kiac kwamba lazima atimize matakwa yake?....ya ngoswe muachie ngoswe.

Kabisa na mimi ndio maana nasema maji yakimfikia shingoni obviously they dude will talk about it
 
kwannn aingilie mambo ya watu, asichomeke wala asichomoe, akae kimya mpaka ashirikishwe, anajuaje labda jamaa anampenda mke wake kiac kwamba lazima atimize matakwa yake?....ya ngoswe muachie ngoswe.

Nadhani Acid anaona kwamba best ake anateseka....otherwise masuala ya mahusiano hayapaswi kuingiliwa....
 
Nadhani Acid anaona kwamba best ake anateseka....otherwise masuala ya mahusiano hayapaswi kuingiliwa....

Jamaa atakuwa anaumia kwa ndani and he's afraid to talk about it anyways tuwaachie wenyewe since jamaa hajawa open kwa Acid lets take it as everything is okay
 
Nadhani Acid anaona kwamba best ake anateseka....otherwise masuala ya mahusiano hayapaswi kuingiliwa....

hakunaga kuona mwenzio anateseka kwenye uhusiano wake, labda karidhika na huo uhusiano? mbaya zaidi Acid hajashirikihwa na frnd wake bali ni fikira zake mwenyewe, anajuaje jamaa ana hela ndefu kiac cha kufanya matakwa ya mke? Acid jamaa aliwaambia ana madeni mpaka anatamani kuhama nchi au nayo ni mawazo yenu binafc?
 
Nyamayao tunaweza kusema everything is okay until pale jamaa atakapovunja ukimya na kuongea na Acid
 
Huyo Mke wa jamaa kapata rafiki mpya/wapya na ndio wanaomfanya kuonekana kabadilika tabia. Acid, anzia kuchunguza kwanza hao waliombadilisha tabia, ili ikiwezekana muanze slow disengagement na hao viumbe wenye tabia mbaya!
 
Achana nao ACID kama hujaombwa ushauri. mambo ya mapenzi ya watu huwezi jua. kama hakuwa hivyo mwanzo labda husband kamwambia kuwa anataka mdada anayempa challenge ya maendeleo, no challenges zenyewe hizo. na labda hamjui yeye ana-enjoy tu, maana hayo magari, nyumba, frem si zao wote?
 
Nadhani Acid anaona kwamba best ake anateseka....otherwise masuala ya mahusiano hayapaswi kuingiliwa....

Yaani mngejua navyopenda kuteswa na mke wangu....ni vile tu hamjui. Mkiona mke wangu ananitesa.....Chondechonde niacheni niteswe, ndicho nachokitaka..:smile-big::smile-big::smile-big:

Acid, huwezi jua jamaa yako labda ana kaugonjwa kama kangu. Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe:nono::nono::nono:
 
sasa Acid umeombwa ushauri au wataka ingilia mapenzi ya watu?
G.. jamaa hajaomba wala nini... ila ngonma imeshaanza kutuweka uncomfortable hasa tukiwa kwenye wikendi aisee

maana utakuta hata vitu vidogo kama mikoba lazma alinganishe na vyake... ninachoogopa ni kwamba nimeshaanza kumavoid jamaa akiwa na mamsapu wake,which may not be fair
 
Hizi balaa za kimaisha aisee...ila ni ngumu kuingilia kama jamaa hajawambia rasmi....so i propose :tape:
agreed mkuu... sasa kasheshe inakuja mshkaji neiba na dawa rahisi ni kuingia mitini maana vikishaanza vijimambo ndio unakuta hata bia hainyweki

Hivi ninavyoongea nishaanza kula kona na nahisi jamaa kashtuka frani... alikua anhoji mbona sipiti homa yake siku hizi
 
najua wanaume wengi hawapendi kwenda kwenye starehe (bar/game)wakiwa na wake zao na group yake ya frnds, sasa huyu kama anaambatana na mke wake bac wanapendana vya kutosha, wewe kwann hujaambatana na wako? waache bwana.
 
watu wanaojifunika shuka moja sio wa kuingiliwa kihivyo jamani, mke akimpa vizuri Acid ataonekana mchonganishi, mie sioni tabu kama mume anaridhika na kubadilisha vitu kila lisaa kwa ajili ya kumridhisha mke wake na bac aachwe amridhishe.

angekuwa anaridhika Acid asingeumia bana hadi kulileta hapa. Nyamayao nja iyo tabia ya huyo mdada si nzuri izo ni tamaa tu ambazo hazina maana kabisa
 
mkuu... ndoa ndoano

Nilichojifunza hapa ni kwamba nipotezee kiaina, ila itabidi nimpotezee na mshkaji its difficult to stay in thsoe conditions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…