Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 160
Npo seat ya kwanza hapa nasubiria wadau wajeWakuu habarini za mihangaiko, kama title inavyo jieleza hapo juu ningependa kujua utafauti uliopo kati ya Carina ti na Carina si katika vigezo hivi:-
I.Fuel consumption/ matumizi ya mafuta
II.Engine size
III. Uimara wa body na engine
IV. Stability kwa njia
Natanguliza shukrani zangu kwenu wadau wote wenye uelewa kuhusu mashine hizi na wasio na uelewa karibuni nasi tuvune kitu hapa kwa wajuzi.
Shukrani sana mkuuTofuati kubwa ni engine tu. Ti ina engine ya 1.5l wakati Si ina engine ya 1.8l. Kikubwa ni kwamba Si itakuwa na nguvu kuliko Ti ila pia itatumia mafuta zaidi.
Tofauti ya fuel consumption ni kubwa sana mkuu?Tofuati kubwa ni engine tu. Ti ina engine ya 1.5l wakati Si ina engine ya 1.8l. Kikubwa ni kwamba Si itakuwa na nguvu kuliko Ti ila pia itatumia mafuta zaidi.
Hapana, sio kubwa saana. Ti ni kama Corolla AE100 zote zina engine ya 5A. Ushauri wangu, kama unataka Carina kwa matumizi ya kawaida, hasa mjini, hiyo Ti iko poa saana. Si (1.8l) na GT (2.0l) ni kama unasafiri saana ndio utaona raha yake. Ti pia kwa safari sio mbaya, ila haichanganyi haraka kama Si na Gt.Tofauti ya fuel consumption ni kubwa sana mkuu?
Shukrani kwa maelezo mazuri yaliyoshiba mkuu.Hapana, sio kubwa saana. Ti ni kama Corolla AE100 zote zina engine ya 5A. Ushauri wangu, kama unataka Carina kwa matumizi ya kawaida, hasa mjini, hiyo Ti iko poa saana. Si (1.8l) na GT (2.0l) ni kama unasafiri saana ndio utaona raha yake. Ti pia kwa safari sio mbaya, ila haichanganyi haraka kama Si na Gt.
Na Si ina engine ya 7A pia GT ina engine ya 3s gte hii ina turbo.Hapana, sio kubwa saana. Ti ni kama Corolla AE100 zote zina engine ya 5A. Ushauri wangu, kama unataka Carina kwa matumizi ya kawaida, hasa mjini, hiyo Ti iko poa saana. Si (1.8l) na GT (2.0l) ni kama unasafiri saana ndio utaona raha yake. Ti pia kwa safari sio mbaya, ila haichanganyi haraka kama Si na Gt.
Pamoja sana mkuuNa Si ina engine ya 7A pia GT ina engine ya 3s gte hii ina turbo.
Kabisa mkuu. Hizo ni za watu wa mambio.Na Si ina engine ya 7A pia GT ina engine ya 3s gte hii ina turbo.
Hizi ni kwa mbio. Ila kama ana pesa ya mafuta anaweza akawa anatumia mjini. Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida.Kabisa mkuu. Hizo ni za watu wa mambio.
Kabisa mkuu. Na wala sio pesa nyingi. Anaweza ku afford kabisa kama anaweza kumiliki gari.Hizi ni kwa mbio. Ila kama ana pesa ya mafuta anaweza akawa anatumia mjini. Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida.
Shukrani sana mkuuHizi ni kwa mbio. Ila kama ana pesa ya mafuta anaweza akawa anatumia mjini. Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida.
carina gt ina 3s fe...usitupe kamba mzeeNa Si ina engine ya 7A pia GT ina engine ya 3s gte hii ina turbo.
Sawa mkuu, Carina Gt niliyoiona na 3s gte itakuwa walibadili engine, maana mwenye nayo alikuwa na Celica ilikuwa juu ya mawe body iligongwa nyuma na roli.carina gt ina 3s fe...usitupe kamba mzee