Msada wa anwani jamaaani

gyft

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
41
Reaction score
3
Nahitaji msaada kwa anaefahamu anwani ya Chuo cha ualimu Marangu kilimanjaro
Marangu TTC
 
Nahitaji msaada kwa anaefahamu anwani ya Chuo cha ualimu Marangu kilimanjaro
Marangu TTC

Uache uvivu...uwe una'google' kabla ya kupost msaada wa vitu kama anwani ya institution hapa, unajaza tu server! Nimegoogle na info zipo kibao, they even have a website (japo underdeveloped) Home - Marangu Teachers College

P.O.Box 266, Marangu.
 
amna ni me google nimepata tofauti tofauti 3080
 
Watu wakiambiwa wanatumia kichwa kufugia nywele wanabisha
 
msaidieni majameni, acheni kumpaka, kiruuuuuu nyie ni hatari
 
Mzinga kwan ww unatumia kichwa kufugia kucha
........................................................................
Jamaaani naomben kwa wale wanao faham wanitumie hizo anwani jamaaan google nime google znakija anwani kibao wakati chuo ni kimoja tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…