Benjamin mathayo Senior Member Joined Mar 6, 2016 Posts 112 Reaction score 29 Mar 13, 2016 #1 Msada kisheria naomba mnueleweshe kama unahitaji kujenga nyumba kijijini gorofa moja ndogo tu kama ya vyumba 3 chini na vitatu juu inakulazimu ufuate utalatibu au unajenga tu?maana naviwanja bado havijapimwa.
Msada kisheria naomba mnueleweshe kama unahitaji kujenga nyumba kijijini gorofa moja ndogo tu kama ya vyumba 3 chini na vitatu juu inakulazimu ufuate utalatibu au unajenga tu?maana naviwanja bado havijapimwa.
Decree Holder JF-Expert Member Joined Jul 19, 2015 Posts 2,559 Reaction score 3,745 Mar 17, 2016 #2 Sheria ya ardhi ya vijiji siyo lazima kiwanja cha kijijini kipimwe! Hivyo kama una hati ya ardhi ya kimila jenga tu hiyo ghorofa
Sheria ya ardhi ya vijiji siyo lazima kiwanja cha kijijini kipimwe! Hivyo kama una hati ya ardhi ya kimila jenga tu hiyo ghorofa
Benjamin mathayo Senior Member Joined Mar 6, 2016 Posts 112 Reaction score 29 Mar 17, 2016 Thread starter #3 Asante sana kiongozi lkn ngongeza je kuna ulazima wa kutumia enjenia au kuomba kibali cha ujenzi?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2016 #4 Bila injinia hiyo nyumba si itamwagika??? Tenasi tu injinia hata michoro ipelekwe kwenye bodi yenu la sivyo watakusumbuuuuuuùaaaaa
Bila injinia hiyo nyumba si itamwagika??? Tenasi tu injinia hata michoro ipelekwe kwenye bodi yenu la sivyo watakusumbuuuuuuùaaaaa