msada

msada

faizel

Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
21
Reaction score
3
jamahani mm ni mpenzi sana tena sana cha lugha chetu takatifu cha kiswahili.
ila mm ni mcongo drc.jana nilikuwa pande za mwenge.nikasikiya jambo ambae
sijahelewa mpaka sasa.ni ivi kuna mkaka ambae alie tumia lugha ambao sio nzuri
ambele ya umati mkubwa ya watu.ila ni kawaida kusikia watu wanapohamua kutoa
ewani maneno maneno fulani.ila tatizo ni bahada mda kidogo ndio nikasikia
dada mja pale kahanza kusema <jamahani mbona uyu kaka anatumia ki unguja?na kuna
kaka kaingilia kati na kusema <nashangaa mtu mzima anatumia lugha ya ki unguja .swali langu
kwanini lugha chafu au lugha ya matusi ufananisha na unguja???
 
haaaahaaaaahaaaaa! mbavu sina jamani
 
Back
Top Bottom