Karibu mkuu ndiyo nini. we inapnekana ni mzushi, mmbea na mwongo.Wanaofahamu sheria naomba watusaidie...
Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa?
Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani Morogoro kwa ziara na mikutano. Leo jumapili tarehe 5/2/2023 asubuhi barabara zote za kuingia na kutoka mjini Morogoro zilifungwa kwa masaa matatu kupisha msafara wa Chongolo. Jioni pia zikafungwa kwa masaa mawili...
Naomba kuuliza wanaojua sheria... Je, katibu mkuu wa chama (tawala) ni miongoni mwa viongozi walioanishwa kisheria kwamba msafara wao ukipita inabidi watumiaji wengine wa barabara wasubirishwe?
Wewe si ungeendelea kuendesha au na wewe ni mjinga!? Ahahahahah!!Sababu wanatuona wajinga
Wanasema wanaenda mikoani kutatua kero za wananchi, kumbe wanaenda kuongeza kero nyingine ya foleni,Sidhani kama anastahili..yeyesio kiongozi wa kitaifa ni wa chama, maana yake wafuasi wa vyama vingine hawahusu .
Hao wengine kama waziri mkuu ni kiongozi wa kitaifa anastahili ingawa anatoka chama ambacho chongolo ni katibu mkuu.
Uelewa wangu umeishia hapo ngoja wengine waongezee
But 3hrs ? Kmmk..
Taifa linaongozwa na chama gani?Sidhani kama anastahili..yeyesio kiongozi wa kitaifa ni wa chama, maana yake wafuasi wa vyama vingine hawahusu .
Hao wengine kama waziri mkuu ni kiongozi wa kitaifa anastahili ingawa anatoka chama ambacho chongolo ni katibu mkuu.
Uelewa wangu umeishia hapo ngoja wengine waongezee
But 3hrs ? Kmmk..