Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du poleni,
Nilidhani wote tunafuatilia ya Jangwani tuu kumbe taarifa za chama 'chetu' pia zinaendelea kutufikia!.
Asante.
Mkuu,Du poleni,
Nilidhani wote tunafuatilia ya Jangwani tuu kumbe taarifa za chama 'chetu' pia zinaendelea kutufikia!.
Asante.
Was just jocking, naujua impartiality yako.Mkuu,
Kutotoa taarifa SI UUNGWANA! Uungwana ni vitendo; waandishi wanapotufahamisha lolote hatuna budi kuwafahamisha.
Kwa kweli ni mkosi wa aina yake. Maana kila wakati ni matatizo tu: mara kukanyaga mtu, mara kupinduka. Duh!mmmhh....Sijui ni mkosi gani wameanza nao hawa ndugu zetu??!!
Kwa kweli ni mkosi wa aina yake. Maana kila wakati ni matatizo tu: mara kukanyaga mtu, mara kupinduka. Duh!
Wamechanganyikiwa na madongo ya Jangwani!!!
:becky::smile-big:Wamechanganyikiwa na madongo ya Jangwani!!!