Kuna energy field huwa inajengeka wanakua wana-feel maajabu mubashara, ni Kama wanaoshangilia rally/racing show au wale wanaotizama soccer live⚽.Hivi watu wanao simama barabarani wakati msafara una pita huwa wana shangaa nini haswa?
Mtu ana acha kabisa duka lake ana enda kushangaa msafara
Haya mambo nilifanya mara ya mwisho kwa kikwete peke yake ndio nilishangaa now noana misafara ya kawaida sana
Wakikua wataachaKuna energy field huwa inajengeka wanakua wana-feel maajabu mubashara, ni Kama wanaoshangilia rally/racing show au wale wanaotizama soccer live⚽.
Pikipiki yenyewe ina mziki sipandi nilikuwa mbezi pale natoka sokon nikachukua bajaji kawasha tu mziki nao huo nika mwambia zima mziki wako kma una taka hela yangu ivyo tuKila mmoja na hobby yake mkuu, Ila Kuna hobby nyingine ni jau Kuna hobby nyingine ni ngumu kutenganisha na ushamba...
Just imagine mtu anafunga mziki kwenye pikipiki.
Si kweli kwamba watu wanashangaa msafara. Kinacho fanyika ni watu kuzuiliwa hata wakati mwingine kuvuka barabara. Na hivyo hungojea hao wapuuzi wapite. Ndicho hupelekea kuona kama watu wanasibiri msafaraHivi watu wanao simama barabarani wakati msafara una pita huwa wana shangaa nini haswa?
Mtu ana acha kabisa duka lake ana enda kushangaa msafara
Haya mambo nilifanya mara ya mwisho kwa kikwete peke yake ndio nilishangaa now noana misafara ya kawaida sana
Ni kweli ila kuna baadhi ya watu wana funga maduka mpaka barabarani na kuitana msafara una pita wanaenda kusimama karibu na barabara kushangaa chunguza si una ishi mtaani?Si kweli kwamba watu wanashangaa msafara. Kinacho fanyika ni watu kuzuiliwa hata wakati mwingine kuvuka barabara. Na hivyo hungojea hao wapuuzi wapite. Ndicho hupelekea kuona kama watu wanasibiri msafara
Mikakati ya chawa ni pamoja na kuratibu display of fake public support kwa kiongozi.Sijajua ni nani ni wapi ni lini na ni kwanini Ila nimeona ni kivipi msafara ule ulivyozua taharuki kwa wanausalama, na waongozaji wakiwa katika hekaheka, kiasi kwamba wako baru wasijari hata usalama wa watumia balabara ile.
Kwa kutumia hisia na ufahamu wangu huenda ule msafara ni wa Rais.
Wahusika wawe makini na wawajibike kwa weledi.
Ulichokua unashangaa wewe hiyo enzi ya kikwete,ndio na hao washamba wenzio wanachokishangaa now.Hivi watu wanao simama barabarani wakati msafara una pita huwa wana shangaa nini haswa?
Mtu ana acha kabisa duka lake ana enda kushangaa msafara
Haya mambo nilifanya mara ya mwisho kwa kikwete peke yake ndio nilishangaa now noana misafara ya kawaida sana