- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
huenda ikawa ndo dawa ya kuanguka kwake kwenye majukwaa.
Nenda jongo nenda, nenda muuaji nenda
Ni bahati mbaya naye mtoto aliyegongwa hakupenda kugongwa ila ni accident.huyo mtoto aliyekufa atamsaidia kupona magonjwa yake ya kuanguka kwa hiyo ni kafara.......
Ni bahati mbaya naye mtoto aliyegongwa hakupenda kugongwa ila ni accident.
Sote tunaendesha magari siku tutakapopata ajali tunasema ni bahati mbaya hatukudhamiria kuwa hivyo. Tumuombee kwa Mungu mtoto aliyetangulia na tuwaombee binadamu wenzetu wote yaliyo mema japo sisi pia mimi na wewe (na wengine) tuna mabaya yanatokea na tunaomba msamaha kwa Mungu hivyo si vyema kutoa tamko la kafara kwa binadamu mwenzetu ambaye alipenda kuishi kama sisi tunavyoishi leo hii.
Kikwete kisha anza kutoa watu kafara.