Pre GE2025 Msafara wa Rais Samia kuongozwa na pikipiki za CCM, ni sawa Polisi kutumika kwa shughuli za chama?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia.

Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM.

Your browser is not able to display this video.

Pia soma: LIVE - Yanayojiri Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma January 18 - 19, 2025

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia.

Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM.
Labda na mkutano wa CHADEMA watavalishwa sare zao.
 
Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia.

Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM.
wale waendesha pikipiki na zile pikipiki na magari yote yale ni ya CCM gentleman, usipotoshe wadau wa JF 🐒
 
Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia.

Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM.
Acha nguo,
Hata mioyo yao imejaa watesi wao CCM,
Hao ni kuwaacha, hawajielewi hadi kiama kiwafike!
 
Wale walioshikwa wanakula Rushwa watolewe kuacha nafasi za kuwaweka hawa.., Nadhani ile Rushwa / Takrima ni mbaya lakini haya matumizi ya Kodi zetu kufanikisha haya maigizo ni gharama zaidi; (Kama unachosema ni cha ukweli, ukizingatia siku hizi uongo pia umekuwa ndio utaratibu)
 
Ulitaka wavalishwe nini na hizo Pikipiki ni za CCM? 🐼

Na ndiyo wale watu wasiojulikana, wanajivika alama za dola na huzitumia iwe ktk pikipiki, vimulimuli, hardtop land cruisers zenye vioo vyeusi, bunduki za kivita n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…