Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Malalamiko yenu mmezuiliwa au mmeambiwa mkapange mstari?
 
Kwahiyo walivyoambiwa wapange foleni wakaondoka kurudi makwao na kuandika barua???

Najaribu kufikiria kama wangepanga foleni huku kwa sie wananchi wa kawaida(wangejishusha) sijui ingekuwaje
 
Hapo ndio utaona utofauti wa wanasiasa kama kina Seif na wanaharakati kina Lisu
 
hao ni wapumbavu sana hivi kwenye msiba wao wanaenda kufanya showoff ya huyo lissu wao hakuna mtu anawaogopa ila wangeleta aharuki tu na macho ya dunia yangeiona tanzania ni nchi ya kijinga sana kwanza wanakuja na misafara utafikiri wao ndiyo wanashika dora halafu wanamechelewa mpaka rais anahutubia wao ndiyo waingie kenge hawa
 
Easy mkuu. Kama sio sympathy kwanini haikuacha TL arudi bila kupigia kelele jamii kwamba ndio anarudi. kwanza suala la kubaki hai au kufa ni la kwake na mungu...kwanini msingefanya kimyakimya suala la kubaki na uhai wake
ingukuwa wewe ungefanya kimyakimya?
 
Kwanini imekua hivyo hawakutoa mwaliko au wako lockdown?

Nchi zote wana namna ya kupata taarifa zao ndani ya nchi nyingine.

Si ulimsikia wa jirani?

Yawezekana hawana uhakika na ukali halisi wa 'ngwengwe' hapa kwetu.

Watakuwa labda wameufyata.
 

Boss wako mbona huwa anauliza Mbunge wa hapa ni chama gani? Kwani maendeleo yana vyama?
 
Duh!

Nimekuwa kiazi mkuu? Any way shukran
Sasa mbona umependa alichosema na wakati wewe ulitakiwa ufahamu msimamo wangu? Sikukupa like yangu kwenye statement yako kama yake kasoro maeneno ya kwenye kanga?
 
Chadema hawakuwa na nia ya kwenda kuaga walienda kwenye show off na kutafuta sympathy kwamba huyu ndio TL amerudi sasa just for political gains
Siyo kweli labda msiye mtaka kaja tena kwenye msiba je kwenye kampeni? semeni mnaogopa watu wangeli sema Rais, Rais,Rais'time has already told' muda umeshaongea
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…