Msafiri epuka kupitia Nairobi/JKIA maandamano hadi airport?

Msafiri epuka kupitia Nairobi/JKIA maandamano hadi airport?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Gen Z wamepanga kuvamia sehemu tofaut tofauti ikiwemo Airport ya Nairobi/JKIA kama njia ya kushinikiza matakwa Yao, hivyo kama unapanga safari fikiria mara mbili. Usije kujuta ugenini.

Kuna mtu huku Tanzania anapitosha watu anaitwa Haji Manara.
Jana kwenye kusanyiko la vijana wa CCM anawaambia eti Gen Z wa huko Kenya wanajutia waliyofanya na kusifia wa huku Tanzania kuwa eti Wakenya wanawasifu kwa utulivu.
Natamani wampe neno moja tuu, aufyate
 
Huyo huwa hajitambui kabisa.Ameshazoea kuishi kidezodezo kwa kupiga domo na unafiki mitaani.Anayajua maisha ya kitaa huyo?Mpaka atakaporudi kupiga dufu ndiyo akili nazo zitamrudi lakini kama anazo kweli!
 
Kuna mtu huku Tanzania anapitosha watu anaitwa Haji Manara.
Jana kwenye kusanyiko la vijana wa CCM anawaambia eti Gen Z wa huko Kenya wanajutia waliyofanya na kusifia wa huku Tanzania kuwa eti Wakenya wanawasifu kwa utulivu.
Natamani wampe neno moja tuu, aufyate
Huyo wa kupuuza wakimjibu atakimbilia anaonewa kisa yy zeruzeru.Mzee wa yanga alimjibu juzi 🤣🤣🤣jamaa kumbe alikua analewa harafu anabinuka kama tipa linamwaga mchanga sasa huyo kweli wakenye ndo wapoteze mda kumjibu🤣🤣🤣
 
Hizi kauli nakumbuka alikuwaga nazo Rais wa Misri.
Alikuwa akijigamba kuwa watakaojipendekeza kuandamana atawaua kama panya.
Ni kweli alifanikiwa kuwaua lkn aliondolewa Ikulu.

Gaddafi naye akaja nazo nadhani alifikiri kuwa kuna mahali mwenzake alizembea lkn matokeo yake siyo tu aliuawa na yeye bali pia alidharirishwa.

Pengine ulikuwa hujazaliwa ila nimeona nikupe historia kidogo ijapo hayo yaliyowatokea na kutokea kwenye inchi hizo siyo ya kuigwa kama unavyoomba wewe yatutokee nasi.
Rais wa sudan aliondolewa madarakani kisa bei ya mkate kuwa juu,leo hii yupo Sero anajuta
 
Kuna mtu huku Tanzania anapitosha watu anaitwa Haji Manara.
Jana kwenye kusanyiko la vijana wa CCM anawaambia eti Gen Z wa huko Kenya wanajutia waliyofanya na kusifia wa huku Tanzania kuwa eti Wakenya wanawasifu kwa utulivu.
Natamani wampe neno moja tuu, aufyate
Sasa unataka tuige upuuzi wa Kenya?
 
Back
Top Bottom