stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 Sep 12, 2025 #1 Moja ya msafiri wa ndege ya Kenya Airways ameonesha uchakavu wa baadhi ya vitu vilivyomo kwenye ndege hiyo vikiwa vimechakaa na kuharibika. Ujumbe wa abira "Kenya Airways gave us trauma bonding 🫶🏼 where “safety is our priority” is just a suggestion" Your browser is not able to display this video.
Moja ya msafiri wa ndege ya Kenya Airways ameonesha uchakavu wa baadhi ya vitu vilivyomo kwenye ndege hiyo vikiwa vimechakaa na kuharibika. Ujumbe wa abira "Kenya Airways gave us trauma bonding 🫶🏼 where “safety is our priority” is just a suggestion" Your browser is not able to display this video.
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,151 Reaction score 6,449 Sep 12, 2025 #2 Ngoja waje.badala ya kujibu hoja wao wata mwanga matusi...
Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,073 Reaction score 6,909 Sep 12, 2025 #3 Wakija watakuambia wanataka huo uchakavu uje kwakiingereza
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 Sep 12, 2025 Thread starter #4 Mromboo said: Wakija watakuambia wanataka huo uchakavu uje kwakiingereza Click to expand... 😂
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 13, 2025 #5 Hatari sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 14, 2025 #6 Poleni sana majirani... Cc: Mahondaw
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 16,302 Reaction score 35,824 Sep 14, 2025 #7 Hiyo ndege ingekua ya air Tanzania huu ungeenda kasi sana chini ya wanaharakati uchwara wa TZ