Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kwani kusaga ni kupi? Anayesaga anatumia nini? Mwanaume ukiutoa mpini wake autumiao, mengine ayafanyayo hayawezi kuchukua part ktk kusaga?
May be msagaji anazijua engo zake zinazompagiwisha na kwa kutumia chansi hiyo ni rahisi kuzijuwa za mshirika wake.
Amini,usiamin msagaj yupo juu kwa kutongoza na kuonyesha care kuliko mwanaume mwenyewe