Tetesi: Msahada kwa anayekumbuka kuweka software mpya kwenye ZUKU

Tetesi: Msahada kwa anayekumbuka kuweka software mpya kwenye ZUKU

Mkulubilanga

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
40
Reaction score
16
Ndugu wadau kwanza habari zenu naomba msahada kwa anayekumbuka kudownload software mpya baada kuamisha position dish la zuku tafadhali
 
Kwani kama kitu ukijui ukikaa kimya inskuaje Pilipili usiyokula inakuwasha namna gani ?
 
Kama mume elimika kuna kitu kinaitwa typing error sasa shida iko wapi
 
Kama mume elimika kuna kitu kinaitwa typing error sasa shida iko wapi
sikubaliani na wewe...typing error kwenye kichwa cha habari na kwenye maelezo pia kwa neno lile lile?
 
Back
Top Bottom