B B the Don Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 4 Sep 27, 2013 #1 Niko mbali na dar so nashindwa kuchukua joining instruction kama wewe unayo soft copy(pdf file) naomba uni2mie kupitia e-mail yangu bernardbnmhagama@gmail.com au kupitia hii JF.
Niko mbali na dar so nashindwa kuchukua joining instruction kama wewe unayo soft copy(pdf file) naomba uni2mie kupitia e-mail yangu bernardbnmhagama@gmail.com au kupitia hii JF.
B B the Don Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 4 Sep 27, 2013 Thread starter #2 Msaada jf fans.
M Mambaenock JF-Expert Member Joined Aug 7, 2013 Posts 427 Reaction score 107 Sep 27, 2013 #3 Angalia kwenye web yao
B B the Don Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 4 Sep 27, 2013 Thread starter #4 Mambaenock said: Angalia kwenye web yao Click to expand... daa! kwenye website yao hawajaweka labda ww ushawaickia kunam2 kadownload kutoka kwenye website yao?
Mambaenock said: Angalia kwenye web yao Click to expand... daa! kwenye website yao hawajaweka labda ww ushawaickia kunam2 kadownload kutoka kwenye website yao?
M Mambaenock JF-Expert Member Joined Aug 7, 2013 Posts 427 Reaction score 107 Sep 27, 2013 #5 B the Don said: daa! kwenye website yao hawajaweka labda ww ushawaickia kunam2 kadownload kutoka kwenye website yao? Click to expand... ingia kwenye web yao uchukue contact yao uweze kuwasiliana nao
B the Don said: daa! kwenye website yao hawajaweka labda ww ushawaickia kunam2 kadownload kutoka kwenye website yao? Click to expand... ingia kwenye web yao uchukue contact yao uweze kuwasiliana nao
B B the Don Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 4 Sep 27, 2013 Thread starter #6 Mambaenock said: ingia kwenye web yao uchukue contact yao uweze kuwasiliana nao Click to expand... nshajaribu kuwasiliana nao kwa email yao lakn hawajibu.
Mambaenock said: ingia kwenye web yao uchukue contact yao uweze kuwasiliana nao Click to expand... nshajaribu kuwasiliana nao kwa email yao lakn hawajibu.
B Basegeta Senior Member Joined Jun 20, 2013 Posts 110 Reaction score 11 Sep 27, 2013 #7 Nasikia mpaka chuoni ni elfu 30 malipo